Idara ya Utunzaji na Usimamizi wa Kumbukumbu

Idara ya utunzaji na Usimamizi wa Kumbukumbu ni idara mpya iliyoanzishwa mwaka 2018, mara baada ya sinodi. Ofisi ya idara inapatikana katika Ofisi yetu kuu, Rungwe.

Idara inahusika na kazi zifuatazo:

  • Kusimamia mchakato wote wa utunzaji kumbukumbu. 
  • Kufanya kazi zote kwa mujibu na taratibu sambamba na utunzaji wa kumbukumbu.
  • Kuzingatia uhakiki wote wa ulinzi wa kumbukumbu na ukaguzi.
  • Kuchangia maendeleo ya mkakati wa mfumo wa habari.
  • Kutoa msaada wa taarifa unapohitajika katika idara nyingine kwa kutuma kwa mshirika anayehitaji na matengenezo ya ‘database’.
  • Kuchakata nyaraka inapobidi.

Mkuu wa Idara - Mch. William A. Mashimbi
Mawasiliano

Kanisa la Moravian Tanzania – Jimbo la Kusini
Idara ya Utunzaji na Usimamizi wa Kumbukumbu

S.L.P. 32
Tukuyu
Tanzania

Simu:    +255 768 458261
Barua Pepe:   wamashimbi@yahoo.co.uk
Kiswahili