Idara ya Afya

Kanisa la Moravian lina taasisi mbalimbali za afya mkoani, kama vile hospitali, vituo vya afya na zahanati. Lengo ni kuimarisha afya ya jamii, ambapo tunalenga hasa kuwafikia wale ambao hawawezi kuzifikia taasisi za afya za kiserikali. Kwa maelezo zaidi kuhusu taasisi hizi, bofya linki za chini.

Hospitali ya Isoko
Kiswahili