Zahanati ya Chikumbulu

Zahanati ya Chikumbulu iko katika kijiji cha Chikumbulu. Ni zahanati  inayohusiana na Hospitali ya Isoko. Huduma kuu zitolewazo katika zahanati ni wagonjwa wa nje, elimu ya afya, afya ya uzazi ya mtoto na utoaji wa dawa za msingi.

Kiswahili