Zahanati ya Kalembo
Zahanati ya Kalembo iko katika kijiji cha Kalembo. Ni zahanati inayohusiana na Hospitali ya Isoko. Huduma kuu
zitolewazo katika zahanati ni wagonjwa wa nje, elimu ya afya, afya ya uzazi ya mtoto na
utoaji wa dawa za msingi.