Zahanati ya Bulanga

Zahanati ya Rungwe iko katika kijiji cha Rungwe. Ni zahanati  inayohusiana na Hospitali ya Isoko. Huduma kuu zitolewazo katika zahanati ni wagonjwa wa nje, elimu ya afya, afya ya uzazi ya mtoto na utoaji wa dawa za msingi.

Kiswahili