Idara ya Uinjilisti

Idara ya Uinjilisti ina wajibu wa kueneza neno la Mungu miongoni mwa watu wenye umri wowote. Idara inafanya semina juu ya mada mbalimbali, kama jinsi ya kumpokea Yesu na kuwa Mkristo mwema au kuhusu ndoa na maisha ya kifamilia.

Pia, idara inaandaa na kuuza biblia na vitabu vya nyimbo kwa watu ambao wasingeweza kuvipata.


Mawasiliano

Kanisa la Moravian Tanzania – Jimbo la Kusini
Idara ya Uinjilisti
S.L.P. 32
Tukuyu
Mbeya

Simu: 
Kiswahili