Ofisi Kuu

Ofisi kuu ya Kanisa la Moravian Tanzania – Jimbo la Kusini inapatikana Rungwe, karibu na mji uitwao Tukuyu. Ipo karibu na kanisa la kwanza ambalo wamisionari wa Moravian walilianzisha mwaka 1891. Ofisi kuu ni makao ya utawala wa jimbo la Kusini na inajumuisha ofisi za kamati ya utendaji na ofisi za idara.

Mawasiliano


Kanisa la Moravian Tanzania - Jimbo la Kusini
Ofisi Kuu
S.L.P. 32
Tukuyu
Tanzania

Barua Pepe:   rungwemission@gmail.com
Simu:     +255 764 934 349
Kiswahili