Kamati ya Utendaji

Kamati ya Utendaji ni uongozi  wa utawala wa jimbo na ina watu watatu, Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu.

Wanachama wa sasa wa kamati ya utendaji ni:


                                                                                               Mch. Ezekiel .A. Mwasamboma - Mwenyekiti
Mwenyekiti wa Bodi ya jimbo ni Mtendaji Mkuu wa jimbo.











Mch. Jairi Sengo - Makamu Mwenyekiti

Makamu Mwenyekiti anamkaimu Mwenyekiti asipokuwepo.









Mch. Steven Mwaipopo - Katibu Mkuu

Katibu Mkuu anawajibika kuweka, kutunza na kutekeleza maazimio ya Sinodi, bodi ya jimbo na kamati ya utendaji.
Kiswahili